Kwanza International School

Kila mwaka nafundisha madarasa yote ya Kwanza International School ili wanafunzi wote wapande jukuwaani katika sherehe ya kuitimu darasa la sita.

Picha za Kazi yangu Kwanza International School

Lieso ya mwaka 2013

Naonekana mimi ninayewaandaa waanafunzi wa KWANZA INTERNATIONAL SCHOOL concert ya shule mzima ya mwaka 2013.