2 Pachingo Mbaride
Pachingo Mbaride way
Pachingo Mbaride way way waa
Pachingo Mbaride way
Pachingo Mbaride way way waa
Mtenje tiwakati kuvenda way
Mtenje tiwakati kuvenda way way waa
Mtenje tiwakati kuvenda way
Mtenje tiwakati kuvenda way way waa
Vineganee Mwinganee Vatite vatite ndondondo
Nijimwicke kuudavi ngusosa litalaha nambo kweleko nanga chiru
Vatikukitu velechi velechi velechi
eti wameniroga
We muongo!
Unajiroga mwenyewe minendo maisha yako.
We say tuvende mungu
We say tuvende mungu
We say tuvende mungu
We say tuvende mungu
Pachingo Mbaride way
Pachingo Mbaride way way waa
Pachingo Mbaride way
Pachingo Mbaride way way waa
Mtenje tiwakati kuvenda way
Mtenje tiwakati kuvenda way way wa
Mtenje tiwakati kuvenda way
Mtenje tiwakati kuvenda way way wa
Shangazi huu mwaka wangapi?
Natafuta kazi sipati oo.
Shangazi huu mwaka wangapi?
Natafuta kazi sipati oo.
Haiwezekani naweka mwani .
Hawa ni majirani. Wananiroga.
Haiwezekani!
Anasema eti amerogwa .
Amerogwa huyo.
Majirani zake wachawi.
Eti wanga.
Anasema eti amerogwa.
Amerogwa huyo.
Majirani zake wachawi.
Anasema eti amerogwa.
Majirani zake wachawi.
We muongo!
Unajiroga mwenyewe minendo maisha yako.
Rekebisha tabia na mwendo.
Omba mungu atakusaidia.
Ongeza bidii utafanikiwa.
Pachingo Mbaride way
Pachingo Mbaride way way waa
Pachingo Mbaride way
Pachingo Mbaride way way waa
Mtenje tiwakati kuvenda way
Mtenje tiwakati kuvenda way way wa
Mtenje tiwakati kuvenda way
Mtenje tiwakati kuvenda way way wa
Twende lo twende
Twende lo twende
Veketu vitu vinde
Veketu vitu tucheze
Twende lo twende
Twende lo twende
Veketu vitu vinde
Veketu vitu tucheze
Dansi sheki dansi sheki dansi sheki dansi
Dansi sheki dansi
Dansi sheki dansi
Twende lo twende
Twende lo twende
You can do it, too! Sign up for free now at https://www.jimdo.com