Sasa nimeweza kutengeneza video tatu katika albamu ya Amka! video ya nyimbo Pachingo Mbaride, Amka na Najua Nilichopenda.
Albam ya video imetoka na ukipenda kuinunua nipigie simu au nitumie E-Mail. Bonyeza hapa kupata mawasiliano yangu.
Ukitaka kuangalia video papo hapo fuata linki hii.
Write a comment