3 Amka

Mnasikia Mnasikia Majogo Majogo wanawika.

Watoto Tanzania leo tumeamka!

African Kings Tanzania Moto huo Moto huo…

Naipenda Tanzania Karibuni Tanzania Welcome Tanzania

Naipenda Tanzania Karibuni Tanzania Welcome Tanzania

Naipenda Tanzania nchi yenye amani ni kitu cha kujivunia.

Nawatangazia utu wetu, utamaduni wetu ni msingi wa umoja wetu.

Tuna vivutio vingi sana hapa nchini kwetu na leo tuvitangaze.

Mbuga za wanyama Tanzania Ngorongoro, Serengeti, Mikumi na nyingine nyingi.

Mlima mpepo kuliko yote barani Afrika.

Mlima Kilimanjaro uko Tanzania.

Naipenda Tanzania Karibuni Tanzania Welcome Tanzania

Naipenda Tanzania Karibuni Tanzania Welcome Tanzania

Njoo uone misitu minene wanyama na ndege wa ajabu wako Tanzania.

Njoo uone bahari mito na mabonde samaki na chura wa ajabu wako Tanzania.

Naipenda Tanzania Karibuni Tanzania Welcome Tanzania

Naipenda Tanzania Karibuni Tanzania Welcome Tanzania

Chintanje chintanje…

Aide aide eee aide

Tumsamuni Tanzania