4 Wazazi
Vergiss deine Eltern nicht!
Usisahau wazazi wako!
…
Miezi sita uzae tabu nyingi tena mama.
Baba elimu umetoa afya bora pia.
Leo hivi umekuwa rudisha fadhira kwa wazazi.
Wazazi ndio wamekuwezesha wewe.
Wazazi ndio wamekuwezesha wewe.
Umezaliwa wasipo wewe kujua.
Umelelea wasipo we jitambua.
Leo umekuwa umefanikiwa.
Rudisha fadhira ulikotokea.
Wazazi ndio nguzo kuu ya dunia.
Wazazi wamekuwezesha wewe.
…
Neun lange Monate hat dich deine Mutter herumgetragen
Und dein Vater war von Anfang an für dich da.
Bildung und beste Gesundheit haben sie dir ermöglicht.
Deine Eltern! Deine Eltern!
Heute bist du erwachsen. Bedanke dich bei ihnen.
Revanchiere dich.
Revanchiere dich.
Stell dir vor: Bevor du dich überhaupt daran erinnern kannst haben sie dich getröstet, wenn du dir wehgetan hast.
Sie haben dir Sprechen und Laufen beigebracht.
Sie waren immer für dich da wenn du sie gebraucht hast.
Stell dir vor: Das Leben haben sie dir beigebracht!
Was wärst du nur ohne deine Eltern?
Usidharau mama aliyekuweka tumboni miezi tisa. Oooooo…
Nang"ane nang'ane nang'anee mnang'anile nang'ane Oooooo...
Nanga chinu chitende velevo pangalola vandu achikutepanganya Oooooo..
Kazi ndio nguzo kuu katika maisha yako usijsahau.
…
Wazazi wamekulea wewe hadi we umekuwa.
Rudisha fadhira kwa wazazi wako.
Mama nibebe nibebe nibebe.
Acha we ushamba wa mtaani viteso barabarani na magari ya kifahari.
Unasahau wazazi!
Umefanikiwa!
Rudisha fadhira kwa wazazi wako waliyekuweka duniani.
Mama nibebe nibebe nibebe.
Yule anatoka huyu anaingia.
Na huyu anaingia huyu anatoka.
Nibebe nibebe!
…
You can do it, too! Sign up for free now at https://www.jimdo.com