6 Nimeamini
Nimeamini husemi wakale.
Umdhaniaye kumbe ye siye.
Nilimpenda na yeye akasema hatonitenda.
Siku ya siku akaacha nitenda miye. Sijala yamini bali nimeamini.
Ninamkuta vichochoroni, amekaa mtu tubee.
Wanamkisi mkisi wanamchumu mchumu.
I love you, I need you.
Nashindwa kula nashindwa kulala.
Penzi lako lilivyo nitawala.
Tuache urafiki natutii tafsiri penzi la leo halihitaji kukalili.
Unahitaji uwe na mpenzi zaidi ya wawili.
Ukinizingua namfuata yule wa pili.
Sikitendawili kusema nitege na we utegwe.
Kama umelewa ipo siku utaja utaelewa.
Yalinitokea na wewe atakutokea.
Koko nimeenda uko
Koko nimeenda uko
Koko nimeenda toka toka toka
Koko nimeenda uko
Nimeamini husemi wakale.
Umdhaniaye kumbe ye siye.
Nilimpenda na yeye akasema hatonitenda.
Siku ya siku akaacha nitenda miye. Sijala yamini bali nimeamini.
Ninamkuta vichochoroni, amekaa mtu tubee.
Wanamkisi mkisi wanamchumu mchumu.
Lakini mpenzi nakufananisha na mtoto wa mbwa.
Kila kukicha kunusanusa.
Nikikuuliza unasaka mavumba.
Ina maana kama hauna mavumba umekosa mchumba.
Sio kweli hiyo ni ruka yako ya kupenda kujirusha kwenye mikesha na tamaa ya pesa.
Ndio maana umetekwa.
Na mi sitaki kukuresesha.
Naogopa utanikondesha.
Acha tabia ya kunipigia.
Niko na wangu utaniharibia.
Hivi sasa tunagonga bia.
Acha kunifatilia we ushafulia na mimba ndo imeshakuingia.
Mtangazo nia kakukimbia hivi sasa unajutia.
Umeshajaribu ya kutosha umeshindwa sio unataka kuchoresha.
Narudi home nitaagiza unayeagiza kunikwaza.
Nia kumpumbaza
Umtoweze kama tonge kwa lengo la kunimeza. No!
Bora ungeweza kunivisha kichwa pia.
Uwe na moyo wa kuendelea.
Umeshindwa ulichoniponda wako mkononi pia.
Hiki kitu nilichokupa haketi tena kama hatakalia
Siwezi kukukaripia kila saa
Japo nakata talufaa
Nakukuacha na saa itakufaa
Matendo movu yataisha maisha
Kwa sabau hata mi kukuwacha bali zako mtaani zimezeeka
Sitoka kuapata ugonjwa na mimi kalivaga
Una hasa kama nightmare nishasema sana sitoongea tena.
Nishasema sana sina la kusema tena seja nenja
Nishasema sana sina la kusema tena seja nenja
Nimeamini husemi wakale.
Umdhaniaye kumbe ye siye.
Nilimpenda na yeye akasema hatonitenda.
Siku ya siku akaacha nitenda miye. Sijala yamini bali nimeamini.
Ninamkuta vichochoroni, amekaa mtu tubee,
wanamkissi kiss wanamchumu chumu.
You can do it, too! Sign up for free now at https://www.jimdo.com