7 Najua Nilichopenda
Mimi ndiye najua nilichopenda mimi.
Ndio maana miye nashindwa nashindwa kumuacha. Elewa!
Mimi ndiye najua nilichopenda mimi.
Ndio maana miye nashindwa nashindwa kumuacha. Elewa!
Mapenzi mapenzi yalianza tokea enzi
Sina budi kuenzi mapenzi
Mapenzi nikipenda roho hayahitajikiwa kuingiliwa
Elewa
Mpenzi hapa duniani kuna wengi mashakani.
Shida ni nyingi, matatizo ni mengi.
Kuna watu wana roho za korosho.
Hawapendi kuona wawili wawili wakipendana.
Mjomba jwelejuangu jumo jwine ngapagwa
Kuziba pengo yeeah.
Achibengendebengende atite.
Vapali vandu Mtima vagule. Yeeah!
Kiasi nisipomwona usingizi sipati kwa jinsi mapenzi yake yalivyo kuwa na dhati.
Huyu ni wangu mmoja kwenye umati nakili.
I say! Ukitaka tuvunje urafiki niambie nimwache.
I love you my sweet girl.
Nakupenda mpenzi.
I need you. Siwezi kukuacha.
I love you my sweet girl.
Nakupenda mpenzi.
I need you. Siwezi kukuacha.
Mimi ndiye najua nilichopenda mimi.
Ndio maana miye nashindwa nashindwa kumuacha. Elewa!
Mimi ndiye najua nilichopenda mimi.
Ndio maana miye nashindwa nashindwa kumuacha. Elewa!
Nampenda nampenda nampenda!
Kumwacha mimi siwezi.
Siwezi kumwacha. Ananipa ninachotaka.
Na hivi sasa kishinitolea mwana.
Sasa we dada, acha urafiki na jaribu kujihisi uko na wifi.
Ndugu zangu niye hamwezi kuvunja hili penzi.
Limetoka kwa mwenyezi, mwenyezi mungu.
I love you, I need you!
I love you, I need you!
I love you!
Mimi ndiye najua nilichopenda mimi.
Ndio maana miye nashindwa nashindwa kumuacha. Elewa!
Mimi ndiye najua nilichopenda mimi.
Ndio maana miye nashindwa nashindwa kumuacha. Elewa!
You can do it, too! Sign up for free now at https://www.jimdo.com