8. Kitu Live
Waafrika wote
Kitu Live
Watanzania
Kitu Live
Kitu Live
Kitu Live
Yeah! In the name of Mors Guy Baang! Bang!
…
Mnaninginiza nchi nzima mnaninginia mnabembea
Kitu Live Ho!
Kitu Live He!
Watu wo ho!
Watu wo ho!
Kitu Live Ho!
Sasa live He!
Sasa live He!
Naishi kama msaafu inanipa passion…
Nadondoka home…
…
Kitu Live Ho!
Kitu Live He!
Watu wo ho!
Watu wo ho!
Kitu Live Ho!
Sasa live He!
Sasa live He!
Hii ni kitu live! Tunagonga kama ndizi na hatukosi mashabiki.
Tunatoa upumbavu. Tunazidisha adabu tunataka kutoka enzi za mabavu.
Hii ni kitu live kuanzia kiki snea na bado beat linazidi kunielewa.
Linanielewa sio ni kitu live yo.
Bongo tuko live yo.
Basi kama unanielewa nipe tano.
Kitu live yo Kitu kitu live yo
Kazabuti: Buti kitaa, Buti jukwaa, fanyeni fasta bwana tupande jukwaa. Ng’ara kinara.
Mawazo juu ya jukwaa sikuweki mbali kwa hali, sikuweki mbali na mali.
This is a stage ndani ya meli, niko na wana kamili, zaidi ya jeshi nduli nduli
If you wana be like me I passed the way (of Hip Hop me.)
Kitu Live Ho!
Kitu Live He!
Watu wo ho!
Watu wo ho!
Kitu Live Ho!
Sasa live He!
Sasa live He!
Waafrika wote
Kitu Live
Watanzania
Kitu Live
Kitu Live
Kitu Live
Kitu Live Ho!
Kitu Live He!
Watu wo ho!
Watu wo ho!
Kitu Live Ho!
Sasa live He!
Sasa live He!
Kitu Live Ho!
Kitu Live He!
Watu wo ho!
Watu wo ho!
Kitu Live Ho!
Sasa live He!
Sasa live He!
Waafrika wote
Kitu Live
Watanzania
Kitu Live
Kitu Live
Kitu Live
You can do it, too! Sign up for free now at https://www.jimdo.com