Katika sehemu hii mnaweza kuangalia shoo zangu mbalimbali zilizofanyika hapa bongo na nje ya nchi.
Hii ni video fupi ya shoo ya bendi yangu Nyota Kali iliyofanyika jukwaa la Makumbusho.
Hapa nikiwa kwenye tamasha la Ethno Sweden baada ya kushinda mwanamuziki bora wa kwanza kwenye tamasha la Music Crossroads lililofanikwa nchini Zambia.
You can do it, too! Sign up for free now at https://www.jimdo.com