Tutakuwa Nürnberg tarehe 30 mwezi wa 7 kwenye Tanzania Festival.
Karibuni sana wote!
Tarehe 16 mwezi wa 7 tutakuwa na shoo katika afrika festival Wiesbaden.
Mnakaribishwa wote!
Tarehe 21 mwezi wa 6 tutakuwa na shoo ya mziki Merseburg katika Fete de la Musique.
Karibuni wooote!
Kuanzia leo albamu ya Amka! ya video sita na nyimbo mbili iko sokoni.
Kama unapenda kunisapoti na kuinunua naomba uwasiliane na mimi.
Mawasiliano yangu haya hapa (Bonyeza hapa.)
Na pia inapatikana Ujerumani katika shoo zangu za "Nyumbani".
Karibuni sana!
Herzlich willkommen!
Mwezi wa kumi tarehe 4 nitasafiri Ujerumani. Nitakuwa na mashoo mengi sana katika miji ya Hamburg na Nürnberg na zingine hapa Tanzania. Karibuni sana kuangalia maigizo, muziki pamoja na video jukwaani kuhusu kaulimbio ya NYUMBANI.
Ratiba ya Show:
27/08/2013 TSE, Ubungo-Kibangu, Dar es Salaam, Tanzania
27/09/2013 Goethe-Institut, Upanga, Dar es Salaam
30/09/2013 TSE, Ubungo-Kibangu, Dar es Salaam, Tanzania
09/10/2013 Streetperformance, Nürnberg, Ujerumani
10/10/2013 19:00h DESI, Nürnberg, Ujerumani
11/10/2013 18:00h Jugendhaus Wiese 69, Nürnberg, Ujerumani
12/10/2013 18:00h Mission Eine Welt, Neuendettelsau, Ujerumani
18/10/2013 19:30h Panteater, Hamburg-Hasseldorf, Ujerumani
19/10/2013 19:30h Panteater, Hamburg-Hasseldorf, Ujerumani
22/10/2013 10:00h Bürgerhaus Wilhelmsburg, Hamburg, Ujerumani
22/10/2013 19:00h Bürgerhaus Wilhelmsburg, Hamburg, Ujerumani
23/10/2013 19:00h Helene-Lange-Schule, Hamburg, Ujerumani
25/10/2013 19:00h Festival Room of the town hall of Hamburg, Ujerumani
Sasa imetoka video ya sita katika albamu yangu. Ni video ya nyimbo WAZAZI. Kama unapenda kuiangalia bonyeza hapa.
Tarehe 3 mwezi wa 8 tutakuwa na Community Show katika eneo la TSE Ubungu Kibangu karibu na Islamic School. Karibuni wooooooooooooooote!
Nimetengeneza video mbili mpya za Albam yangu ya kwanza!
Video za nyimbo ya USIKAE JITUME na NIMEAMINI.
Siku ya tarehe 1/7/2013 nitafanya show katika ukumbi wa makumbusho ya taifa mjini wa Dar es Salaam posta mbele ya Obama na mkewe na viongozi wengine akiwepo mama Salima, Kikwete pamoja na Mawaziri.
Sasa nimeweza kutengeneza video tatu katika albamu ya Amka! video ya nyimbo Pachingo Mbaride, Amka na Najua Nilichopenda.
Albam ya video imetoka na ukipenda kuinunua nipigie simu au nitumie E-Mail. Bonyeza hapa kupata mawasiliano yangu.
Ukitaka kuangalia video papo hapo fuata linki hii.
Nimefanikiwa kurekodi albamu yangu ya kwanza inayoitwa Amka!. Sasa iko sokoni.
Mpaka sasa zimetoka nyimbo nane za audio zinazoitwa inayofuata:
Kama unapenda kupata taarifa zaidi kuhusu ambamu ya Amka! ama ukipenda kusikiliza nyimbo zangu kliki hapa.
Ukitaka kununua hii albamu ya audio, tafuta mawasiliano na mimi. Bonyeza hapa.
Katika tamasha hilo la kuwatafuta mabalozi wawili watakao iwakilisha Tanzania katika mashindano ya music crossroads nchini Zambia,hatimaye yamepatikana makundi mawili ambayo ni Kyanzo-DCMA kutoka Zanzibar pamoja na Kikundi cha Nyota Kali ndivyo vilivyofanikiwa kunyakua nafasi hiyo ya kwenda nchini Zambia.
Kwa taarifa zaidi bonyeza hapa
You can do it, too! Sign up for free now at https://www.jimdo.com